Follow me

Total Pageviews

Translate

Pages

Followers

Featured Posts

Powered by Blogger.

Text Widget

Unordered List

Recent Posts

Thursday, May 1, 2014

Here I am again...with #africanprints


Have you ever thought of putting some touch of african prints in your home as a decoration?

If not, jaribu sasa...african prints a.k.a vitenge a.k.a ankara can make your home look beutiful also and more alive.

Kuna aina nyingi ya kukitumia kitenge kama njia ya kupamba nyumba yako. Kwanza unaweza ukatumia kitenge kutengenezea foronya (cushions) ndogo.

Mapazia (curtains) yanaweza kutengenezwa kwa kutumia african prints pia. Bila kusahau bedcovers, mashuka, chairs and even sofas.
Enjoy the pics and be inspired!








In case umependa na unahtaj kutengenezewa mapazia or mito, check with me through facebook: Bertha Kipangula au Instagram: @nyla088

Thank you for passing by here♡



Categories:

1 comment: