Follow me

Total Pageviews

Translate

Pages

Followers

Featured Posts

Powered by Blogger.

Text Widget

Unordered List

Recent Posts

Wednesday, May 7, 2014

Habari zenu bana!

I love the colour combination in this picture (black, orange and gray).



Leo tunaangalia trend mpya mujini ya masofa, L-shaped; ni masofa yanayotengenezwa na kuwa na umbo la herufi 'L'. Licha ya kubadilisha muonekano wa nyumba kwa kuweka mtindo mpya, masofa haya pia can help to save space kwa eneo dogo, as unaweka sofa lako moja kwenye kona basi.

Sofa hizi zinaweza zikatengenezwa kwa leather au fabrics mbalimbali. With fabrics its easy to mix different colours to make your living room even more alive.

Hapo chini nawawekea pictures with different L-shaped sofa styles, fabrics,colours, leather and sizes. Ni wewe tu kuchagua na kufanya maamuzi wa lipi utengeneze. Naamini ukimpelekea fundi picha atakutengenezea na utafurahi.

Let us be inspired!  

                   
                              







Images courtesy of different home designing sites.

Thanx for passing by.

Becky.
Categories:

2 comments: