Follow me

Total Pageviews

Translate

Pages

Followers

Featured Posts

Powered by Blogger.

Text Widget

Unordered List

Recent Posts

Wednesday, April 30, 2014


Hallow dearz!



Fountains!...ni neno linaweza kuwa geni kwa wengi wetu, lakini jina ndo tatizo ila kitu chenyewe ni kitu kinachojulikana na wengi.

"Fountains are structures from which artificially produced jet of water arises" as per WordWeb dictionary. Ni mfano wa maporomoko ya maji yanayotengenezwana watu. Fountain huweza kua na maumbo mbalimbali mfano samaki, mtungi au shape yoyote uipendayo.

Katika jamii yetu fountains huonekana kama ni kitu cha kifahari sana, lakini katika tafiti zangu nimegundua ingawa unaweza ukaifanya fountain kuwa luxirious lakini hata watu wa kawaida ilimradi uwe na eneo la garden kwenye nyumba yako basi unaweza ukaweka fountain ili kuipendezesha zaidi bustan (garden) yako.

Hapo chini ntaonesha baadhi ya picha za simple fountains ambazo naamini watu wengi wanaweza kuafford, the only thing which is needed ni desire ya kuwa na hiyo fountain and I believe you won't regret.









Ewe dada, kaka, mama au baba mwenye nyumba, au anayetegemea kujenga nyumba hivi karibuni hebu jaribu kuweka fountain kwenye garden yako basi.

Lets be inspired!

Categories:

0 comments:

Post a Comment