
Hi people!
Naimani mko poa na mnaendelea vizuri na shughuli za kila siku za kulijenda taifa. Sasa leo I am very very Proud, Am proud kwasababu hilo kochi mnaloliona hapo naweza kusema ni kazi yangu ya kwanza ya kumshauri mtu.
Mwenye hilo kochi alikuja kwangu akihitaj nimsaidie kumconsult kuhusiana na aina ya kochi na rangi zitakazoendana na nyumba yake pamoja na fundi. Sio kwamba mimi tu ndo nilikua na maamuzi hapana, bali mimi nilikua nampa...