Follow me

Total Pageviews

Translate

Pages

Followers

Featured Posts

Powered by Blogger.

Text Widget

Unordered List

Recent Posts

Showing posts with label interior. Show all posts
Showing posts with label interior. Show all posts

Tuesday, October 28, 2014

Hi dearz,

Be inspired with these modern TV wall ideas.




















Thanx

Becky.

Saturday, July 19, 2014


Ahmmmmm....the colours in the picture have attracted me alot. That rainbow look awwww! okey, be inspired , hata kama hautaiga the look exactly iga hata huo mchanganyiko wa rangi. unaweza ukaweka mapazia yako ya green/blue...then ukaweka mito kama hiyo orange flani hivi...chini ukaweka carpet la brown ili mradi rainbow itokee...inapendeza kwakweli. 



Thank you.

Becky.

Monday, July 14, 2014

Hi people,

Check out these colour combinations you might be inspired!






Thanx for passing by.

Becky.

Sunday, June 15, 2014

Hi people!

Naimani mko poa na mnaendelea vizuri na shughuli za kila siku za kulijenda taifa. Sasa leo I am very very Proud, Am proud kwasababu hilo kochi mnaloliona hapo naweza kusema ni kazi yangu ya kwanza ya kumshauri mtu.

Mwenye hilo kochi alikuja kwangu akihitaj nimsaidie kumconsult kuhusiana na aina ya kochi na rangi zitakazoendana na nyumba yake pamoja na fundi. Sio kwamba mimi tu ndo nilikua na maamuzi hapana, bali mimi nilikua nampa choices ninazohisi ni sahihi then yeye anafanya maamuzi kulingana na hizo choices.

Tulivofika kwa fundi tulikuta picha nyingi sana, lakini picha ya hapo chini (original) ilikua ni kati ya picha alizozipenda client wangu;

 Hatukupata exactly material na maua ya hiyo mito but  alternative kama uonavyo hapo juu inavopendeza.

 Hapalikiwa kwa fundi


 Hapa limefika nyumbani
Baada ya hilo kochi my client wanted a carpet also, as you can see I advised him on the colours but the style was his choice.

My client was happy with the end result, I was happy too and super proud of myself! (Thank You Very Much for trusting me...hope you see this:).

Kwa yeyote anaehitaji ushauri wa rangi, designs na fundi kama hivo tutafute kwa kuclick hapo kwenye "contact us" utaziona contacts zangu. Karibuni.

Thanx for passing by.

Becky.





Tuesday, May 20, 2014

Habari yako rafiki,

Nashukuru kwa kuendelea kuitembelea blog hii ya wikalodecor, usichoke, endelea kuitembelea kila siku ujifunze mbinu mpya za kuipendezesha zaidi nyumba yako.

Leo nimevutuwa na picha hizi hapa chini, niambie wewe umevutiwa na nini hasa katika hizi picha?






Thanx for passing by.
Becky.








Sunday, May 18, 2014

Hi everyone!




Leo nataka tuone ni jinsi gani chuma/metal designs zinaweza kutumika katika kudecorate nyumba zetu, iwe ni chumbani, saebuleni au jikoni. Kwa kuangalia picha hizi naimani utavutiwa na wewe kujaribu some metal design ideas in your home.























Hope you have enjoyed and utajaribu some metal designs nyumbani kwako.
Mafundi wa hizi designs wako wengi lakini kama utahitaji msaada wa kuunganishwa na mafundi niandikie kwa email hii berthacharles08@gmail.com

Remember that hivi vyuma unaweza kuvipaka rangi yoyote uipendayo kulingana na matakwa yako, so ni njia nzuri ya kupendezesha nyumba yako.

Thanx for passing by.
Becky.
Pillows au mito ni moja ya accessory muhimu sana katika kupendezesha nyumba yako.Nyumba inaweza ikawa imepooza but with pillows thrown in utakuta nyumba inapendeza kweli.

Kuna msemo unasema "Never underestimate the power of the little things" Pillows are such small things that might not seem important in your home; but imagine a living room without a pillow or a bedroom without a pillow, it will feel so empty and plain.Therefore pillows (mito) ni muhimu sana katika nyumba zetu...they make a home feel lively, bright and cheerful.

Kuna vitu vya kuzingatia when choosing pillows cushions for your home;

  • Match the pillows with the furniture
  • Match the pillows with the curtains

  • Patterns make the pillows look even more beautiful


  • Different sizes,styles and colours makes the pillows look shiny and lively.

     
  • Match a statement with pillow -e.g you can match your pillows with a wall paint pattern or colours.



    Pillows can decorate your bed nicely too;


    Idadi ya mito kwenye kochi au kitanda chako inategemeana na teste na interest ya mtu binafsi. You can put one pillow and some one else can put ten pillows, all in all you can put as many pillows as you like...they don't fight :)

    Thanx for passing by.

    Becky.