Follow me

Total Pageviews

Translate

Pages

Followers

Featured Posts

Powered by Blogger.

Text Widget

Unordered List

Recent Posts

Sunday, April 27, 2014


Habari zenu bana!



So so sorry nilipotea hewani kidogo, ni kutokana na maoni ya wengi wenu on how the blog should look. Hope you can see changes.By the way how does it look? Bado nazidi kupokea maoni yenu ili tuweze iboresha blog yetu. (It is still a Work-In-Progress).
In addition to that; naomba pia mpendekeze na kutoa mawazo yenu ni vitu vipi mngependa tuviongelee kwenye siku zijazo.

Back to the topic,leo nataka tuone baadhi ya picha za makabati simple kwa ajili ya vyumba vyetu. Makabati haya nimakabati ya kuhifadhia nguo, yanaweza kuwa na kioo hapo hapo au bila ya kioo ni wewe jinsi upendeleavyo. Kwa mfano kama space ya chumba chako ni ndogo kuweka both dressing table na wardrobe (kabati) hapo ndipo kabati lenye kioo chake litafaa zaidi.

Kwenye hizi picha utaona kwenye rooms za wenzetu wanaongeza some types of vikabati vidogo vidogo, licha ya kuongeza mvuto ndani ya chumba pia vinasaidia kustore vitu  vidogovidogo  ndani ya chumba, kama ties, hats,socks and other small type of clothes (hope you understand) as we know huwa havikosekani.

Haya utakayoyaona leo ni yale makabati unayoweza kuyaamisha kutoka sehemu moja kwenda nyingine kiurahisi (mobile wardrobes), kuna makabati ya aina nyingi like fitted wardrobes and even walk in closets. haya mengine yatakua topic siku nyingine.

Karibuni na endeleeni kuwa nami.







 PS: Samahani posts zilizopita zimepotea. :(

Categories:

1 comment: