Follow me

Total Pageviews

Translate

Pages

Followers

Featured Posts

Powered by Blogger.

Text Widget

Unordered List

Recent Posts

Friday, May 23, 2014

...

Tuesday, May 20, 2014

Habari yako rafiki, Nashukuru kwa kuendelea kuitembelea blog hii ya wikalodecor, usichoke, endelea kuitembelea kila siku ujifunze mbinu mpya za kuipendezesha zaidi nyumba yako. Leo nimevutuwa na picha hizi hapa chini, niambie wewe umevutiwa na nini hasa katika hizi picha?   Thanx for passing by. Becky. ...

Sunday, May 18, 2014

Hi everyone! Leo nataka tuone ni jinsi gani chuma/metal designs zinaweza kutumika katika kudecorate nyumba zetu, iwe ni chumbani, saebuleni au jikoni. Kwa kuangalia picha hizi naimani utavutiwa na wewe kujaribu some metal design ideas in your home. Hope you have enjoyed and utajaribu some metal designs nyumbani kwako. Mafundi wa hizi designs wako wengi lakini kama utahitaji msaada wa kuunganishwa na mafundi niandikie...
Pillows au mito ni moja ya accessory muhimu sana katika kupendezesha nyumba yako.Nyumba inaweza ikawa imepooza but with pillows thrown in utakuta nyumba inapendeza kweli. Kuna msemo unasema "Never underestimate the power of the little things" Pillows are such small things that might not seem important in your home; but imagine a living room without a pillow or a bedroom without a pillow, it will feel so empty and plain.Therefore pillows (mito)...