
Hallow dearz!
Fountains!...ni neno linaweza kuwa geni kwa wengi wetu, lakini jina ndo tatizo ila kitu chenyewe ni kitu kinachojulikana na wengi.
"Fountains are structures from which artificially produced jet of water arises" as per WordWeb dictionary. Ni mfano wa maporomoko ya maji yanayotengenezwana watu. Fountain huweza kua na maumbo mbalimbali mfano samaki, mtungi au shape yoyote uipendayo.
Katika jamii yetu fountains huonekana kama...