Hi people!
Naimani mko poa na mnaendelea vizuri na shughuli za kila siku za kulijenda taifa. Sasa leo I am very very Proud, Am proud kwasababu hilo kochi mnaloliona hapo naweza kusema ni kazi yangu ya kwanza ya kumshauri mtu.
Mwenye hilo kochi alikuja kwangu akihitaj nimsaidie kumconsult kuhusiana na aina ya kochi na rangi zitakazoendana na nyumba yake pamoja na fundi. Sio kwamba mimi tu ndo nilikua na maamuzi hapana, bali mimi nilikua nampa choices ninazohisi ni sahihi then yeye anafanya maamuzi kulingana na hizo choices.
Tulivofika kwa fundi tulikuta picha nyingi sana, lakini picha ya hapo chini (original) ilikua ni kati ya picha alizozipenda client wangu;
Hatukupata exactly material na maua ya hiyo mito but alternative kama uonavyo hapo juu inavopendeza.
My client was happy with the end result, I was happy too and super proud of myself! (Thank You Very Much for trusting me...hope you see this:).
Kwa yeyote anaehitaji ushauri wa rangi, designs na fundi kama hivo tutafute kwa kuclick hapo kwenye "contact us" utaziona contacts zangu. Karibuni.
Thanx for passing by.
Becky.
Naimani mko poa na mnaendelea vizuri na shughuli za kila siku za kulijenda taifa. Sasa leo I am very very Proud, Am proud kwasababu hilo kochi mnaloliona hapo naweza kusema ni kazi yangu ya kwanza ya kumshauri mtu.
Mwenye hilo kochi alikuja kwangu akihitaj nimsaidie kumconsult kuhusiana na aina ya kochi na rangi zitakazoendana na nyumba yake pamoja na fundi. Sio kwamba mimi tu ndo nilikua na maamuzi hapana, bali mimi nilikua nampa choices ninazohisi ni sahihi then yeye anafanya maamuzi kulingana na hizo choices.
Tulivofika kwa fundi tulikuta picha nyingi sana, lakini picha ya hapo chini (original) ilikua ni kati ya picha alizozipenda client wangu;
Hatukupata exactly material na maua ya hiyo mito but alternative kama uonavyo hapo juu inavopendeza.
Hapalikiwa kwa fundi
Hapa limefika nyumbani
Baada ya hilo kochi my client wanted a carpet also, as you can see I advised him on the colours but the style was his choice.My client was happy with the end result, I was happy too and super proud of myself! (Thank You Very Much for trusting me...hope you see this:).
Kwa yeyote anaehitaji ushauri wa rangi, designs na fundi kama hivo tutafute kwa kuclick hapo kwenye "contact us" utaziona contacts zangu. Karibuni.
Thanx for passing by.
Becky.
Made in Tanzania. Tanx Becky
ReplyDeleteKweli! Basi fundi anajitahidi.
ReplyDeleteWapo mafundi kmwa humuhumu kwetu wanaofanya vyema tuu sema hatuwapi shavu.
DeleteKabisa, Tanx Becky kwa kuligundua hilo above all asa kwa product yako nzuri. It was a nice start. Congrads
DeleteI second u, looking up for more from u Becky
DeleteThank you guyz for your support. tuendelee kuwa pamoja.
Delete