Monday, December 22, 2014
Posted by Unknown on 10:32 PM with No comments
Hi everybody!
I am baack! So so sorry for being soo quiet.
Jamani nilikua nimetingwa kidogo, kazi zinabana...lakini si mbaya nikipata muda ntajitahidi kupost mara kwa mara.
Wikalodecor tumeanza kuproduce pilllows, we produce pillows and their cases of all sizes kwa order. Kwa kuanza tumeproduce 16*16 inches pillows ambazo ziko available for Tsh, 15,000 mto na foronya yake. Ukitaka foronya tu pia we can do business, but prices will differ with materials, material tofauti na bei pia ni tofauti.
Angalia some of our products below; nyingine zikiwa zimeshafika kwa mteja.
PS: Fibre iliyotumika kutengeneza mito hii ni ile soft fibre, kwahiyo hii mito ni laini sio ile migumu hata ukicheza pillow fight na baby hauumii heheh #joke KARIBUNI SANA
Subscribe to:
Posts (Atom)