Friday, May 23, 2014
Tuesday, May 20, 2014
Posted by Unknown on 9:54 PM with No comments
Nashukuru kwa kuendelea kuitembelea blog hii ya wikalodecor, usichoke, endelea kuitembelea kila siku ujifunze mbinu mpya za kuipendezesha zaidi nyumba yako.
Leo nimevutuwa na picha hizi hapa chini, niambie wewe umevutiwa na nini hasa katika hizi picha?
Thanx for passing by.
Becky.
Sunday, May 18, 2014
Posted by Unknown on 11:35 PM with No comments
Hi everyone!
Leo nataka tuone ni jinsi gani chuma/metal designs zinaweza kutumika katika kudecorate nyumba zetu, iwe ni chumbani, saebuleni au jikoni. Kwa kuangalia picha hizi naimani utavutiwa na wewe kujaribu some metal design ideas in your home.
Hope you have enjoyed and utajaribu some metal designs nyumbani kwako.
Mafundi wa hizi designs wako wengi lakini kama utahitaji msaada wa kuunganishwa na mafundi niandikie kwa email hii berthacharles08@gmail.com
Remember that hivi vyuma unaweza kuvipaka rangi yoyote uipendayo kulingana na matakwa yako, so ni njia nzuri ya kupendezesha nyumba yako.

Posted by Unknown on 4:06 PM with No comments
Pillows au mito ni moja ya accessory muhimu sana katika kupendezesha
nyumba yako.Nyumba inaweza ikawa imepooza but with pillows thrown in
utakuta nyumba inapendeza kweli.
Kuna msemo unasema "Never underestimate the power of the little things" Pillows are such small things that might not seem important in your home; but imagine a living room without a pillow or a bedroom without a pillow, it will feel so empty and plain.Therefore pillows (mito) ni muhimu sana katika nyumba zetu...they make a home feel lively, bright and cheerful.
Kuna vitu vya kuzingatia when choosing pillows cushions for your home;

- Match the pillows with the furniture
- Match the pillows with the curtains
- Patterns make the pillows look even more beautiful
- Different sizes,styles and colours makes the pillows look shiny and lively.
- Match a statement with pillow -e.g you can match your pillows with a wall paint pattern or colours.
Pillows can decorate your bed nicely too;
Idadi ya mito kwenye kochi au kitanda chako inategemeana na teste na interest ya mtu binafsi. You can put one pillow and some one else can put ten pillows, all in all you can put as many pillows as you like...they don't fight :)
Thanx for passing by.
Becky.
Subscribe to:
Posts (Atom)